TUKUMBUKE UZINDUZI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI TANZANIA (TBC) ULIOFANYIKA TAREHE MACHI 26,2008
Mwenyekiti mtendaji wa IPP, Reginald Mengi akiongea na Sarah Dumba na mhe. Betty Mkwasa ambao ni watangazaji wa zamani wa TBC.
Mc wa shughuli alikuwa mkurugenzi wa utangazaji na matukio wa TBC, Suzzane Mongi.
Mwanga Kirahi (kushoto) ambaye ni mmoja wa maprodyuza wa TBC akiwa na mtangazaji Swedi Mwinyi.
Rais JK na mama Salma pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo mh. George Mkuchika wakiwa na wafanyakazi wa TBC.
Chama la Sports likifurahia jambo kutoka kulia ni Enock Bwigane, Evance Mhando, Juma Nkhamia, Creford Ndimbo pamoja na Baluani Muuza.
Grew ya baadhi ya watangazaji wa TBC ambapo kutoka kulia wa pili ni Nazareth Ndekia mtangazaji wa TBC-FM, Eshe Muhidin mtangazaji wa TBC-Taifa, Evance Mhando, Creford Ndimbo, Baluani Muuza pamoja na huyo bibie ambaye jina lake halikupatikana.
Hivi wale wanafunzi walio shindaga insha siku hiyo unawakumbuka
ReplyDelete